Women have been the focus of utilization of energy because cooking for the family has always been one of their primary tasks. Most women in the rural area cook with firewood. Finding firewood is becoming increasingly difficult.
Kwa vile wanawake ndio hukabiliwa na jukumu la kupikia jamii nzima, basi shughuli nyingi za matumizi bora ya nshati zimekuwa zikielekezwa kwao. Wengi wa wanawake mashambani hutumia kuni kwa upishi wao. Hata hivyo kutafuta na kupata kunikunazidi kuwa ngumu siku hizi.
About the lines
The Maendeleo one pot stove is built around a special pottery liner. This liner automatically gives the proper size door, firebox and pot rests which assures top efficiency. A tongue supports the wood so air can flow below the wood into the fire, and so that long pieces of wood will not fall out. By being protected from wind and excess air the fire burns hot and clean. Majengo wa Jiko la Maendeleo Jiko la Maendeleo litoshalo chungu kimoja limeundwa kwa njia maalum. Muundo wake wa ndani huonyesha kipimo kamili cha mlango, chuma cha makaa au kuni, na kikao cha chungu kwa matokeo bora. Kuni hushikiliwa na kijukwaa ambacho huruhusu hewa kupitia chini kwa urahisi mpaka kwa moto ill kuni kubwa zisianguke. Kwa hali ya kukingwa kutokana na upepo na hewa nyingi, moto huo hua mkali na usafi. |
Advantages 1) Cooking with the Maendeleo Jiko means children are safe from accidental burning so common in kitchens using the traditional three stone fires which have no protective covers. Manufaa Yake 1) Jiko la Maendeleo ni salama kwa watoto ambao huepushwa ajali ambazo mara nyingi hutokea katika majiko ya kawaida ya mawe matatu yasiyokuwa na kizuio juu, na ambayo mara nyingi yamesababisha ajali za moto kwa watoto. 3) Jiko lako la Maendeleo ni rahisi kutengeneza. Ikiwa utapata marafiki kukusaidia, basi litakuchukua saa moja pekee kutengeneza, na watoto wako watafurahia kushiriki katika shughuli hiyo. Ikiwa utalijenga jiko lako la Maendeleo vizuri, na ikiwa utalitunza vyema, basi utaweza kulitumia kwa muda usiopungua miaka mitano hivi. |
|